DL Bookstore

DL Bookstore logo

DL Bookstore

Opening hours

Maji ya Chai
Meru, Arusha, Tanzania 23302

Services

Book

Book Appointment

. Duration:5 mins. Price:Free

About

Helping authors to publish, market, and sell their books.

Our vision is to make it easy for authors to publish their books, and that, book readers get the best and most affordable books. We envision befriending everyone with books.

Reviews

, Highest rated
90
2
0
0
1
93 reviews
  • Hosea Zablon
    ·

    Hongera sana DL bookstore kwa kazi ya viwango vya juu! Hamjaishia kumsikiliza mteja pekee mmeenda mbali zaidi kumshauri mteja ili kipatikane kilicho Bora! Kwa huduma nzuri niliyopata nitakua balozi mzuri wakazi yenu, naamini nitarudi tena na tena...

  • David Mrema
    ·

    Nimependezwa na huduma yenu. Natumai nitarudi tena kwa machapisho mengine

  • Simon Ntugwa Emmanuel
    ·

    Nashukuru sana team nzima ya DL bookstore kwa kufanya kazi yangu kwa viwango vikubwa. Ni mara yangu ya kwanza kufanya kazi na DL bookstore lakini naona kama nilikuwa nimechelewa na sijui nilikwama wapi!
    Nimeangalia cover design IPO vizuri, nimekagua kitabu mlivyokipangilia kimekaa vizuri sana, nimetumia muda kuangalia kwa umakini mkubwa Kila kurasa, neno kwa neno ila nimejikuta nikivutiwa sana na kazi yenu.
    Mungu awabariki sana na nitaendelea kufanya kazi nanyi.
    Mwisho kabisa kwa manufaa ya Kila mwandishi Mgeni na anayejulikana kwenye kiwanda hiki, I recommend everyone to get service from DL bookstore.