- Hosea Zablon·
Hongera sana DL bookstore kwa kazi ya viwango vya juu! Hamjaishia kumsikiliza mteja pekee mmeenda mbali zaidi kumshauri mteja ili kipatikane kilicho Bora! Kwa huduma nzuri niliyopata nitakua balozi mzuri wakazi yenu, naamini nitarudi tena na tena...
- David Mrema·
Nimependezwa na huduma yenu. Natumai nitarudi tena kwa machapisho mengine
- Simon Ntugwa Emmanuel·
Nashukuru sana team nzima ya DL bookstore kwa kufanya kazi yangu kwa viwango vikubwa. Ni mara yangu ya kwanza kufanya kazi na DL bookstore lakini naona kama nilikuwa nimechelewa na sijui nilikwama wapi!
Nimeangalia cover design IPO vizuri, nimekagua kitabu mlivyokipangilia kimekaa vizuri sana, nimetumia muda kuangalia kwa umakini mkubwa Kila kurasa, neno kwa neno ila nimejikuta nikivutiwa sana na kazi yenu.
Mungu awabariki sana na nitaendelea kufanya kazi nanyi.
Mwisho kabisa kwa manufaa ya Kila mwandishi Mgeni na anayejulikana kwenye kiwanda hiki, I recommend everyone to get service from DL bookstore. - chris mauki·
working with DL Bookstore has been an enjoyable journey. The level of professionalism is impressive
Will be back I promise - Pastor Nicolaus Nyella·
1.Kazi zenu ni nzuri Sana Sana!
2. Ila kwa maoni yangu naona kama bei ni kubwa, ninashauri kama inawezekana mpunguze kiasi, kwa mfano kile kifurushi cha 100,000 mfanye 80,000 na kile cha 72,000/ mfanye 50,000 na kile cha 34000 bei ibaki hapo hapo - MARY J KAPESA·
Ahsanteni kwa kuwa nami kwenye hatua yangu ya kwanza kwenye safari hii ya uandishi, Ni imani yangu kuwa tutakuwa pamoja katika hatua zingine zinazofuata, Hakika mmekuwa bora sana, mmenifanya nione kazi ya uandishi ni rahisi mnooo, pokeeni shukrani zangu za dhati,
- Eng. Tindwa Martin·
Nawashukuru DL Book Store kwa kazi hii kubwa na makini ambayo imefanyika kwa wakati na kutimiza malengo.
- Patrick Anderson Nyato·
A publishing academy that treats the author and readers with first class treatments and take partners like superstars.
- Eng. Kabenda Balete·
Fast, Reliable and proffesional book editing and book layout l have received from DL-Store. I recommend DL Store to be your vendor on book writing,layout and proff reading services.
- Hamis Joseph Mambya·
Hongereni DL kwa kwa huduma yenye ubora mnayofanya.